LevandaPOS

Mtu yeyote anaweza kuwa wakala wa Levanda POS na kujipatia pesa kirahisi

Levanda POS

Ni mfumo wa kidijitali unaomsaidia mfanyabiashara kuendesha biashara yake kisasa kwa kutumia kifaa cha kielektroniki kama simu janja, tablet, au kompyuta. Kutunza rekodi na kutoa ripoti za bidhaa, mauzo, faida, hasara, matumizi, wateja, madeni n.k

Vigezo


Ili uweze kuwa Wakala wa Levanda POS, unatakiwa kuwa na sifa zifuatazo:

Huduma nzuri kwa Wateja

Wakala anatakiwa kutoa huduma nzuri kwa wateja kwa sababu anaiwakilisha kampuni ya Levanda.

Ujuzi wa Kidijitali

Wakala anatakiwa kujua faida za kuendesha biashara kidijitali ukilinganisha na kutumia njia za jadi/kizamani.

Image

Levanda POS Wakala anatakiwa kufanya nini ili kupata pesa?

Jifunze Levanda POS

Wakala anatakiwa kujua kiundani jinsi mfumo wa Levanda POS unavyofanya kazi ili imrahisishie kuwaelezea wateja (wafanyabiashara)

Tafuta Wateja

Tafuta wafanyabiashara uwaelezee na kuwashawishi kutumia mfumo wa Levanda POS kwenye biashara zao.

Pata Malipo

Utapata malipo yako ya uwakala kila mara mfanyabiashara anatakapolipia kutumia Levanda POS.

Image

Kiasi gani wakala wa Levanda POS anaweza kupata?

Hakuna kikomo kwenye malipo ya uwakala

Jinsi unavosajili wateja wengi ndivyo utakavyolipwa zaidi

Kwa wateja hai 100, Wakala anaweza kulipwa mpaka TZS 300,000 kila mwezi.

Umevutiwa ?


Jiunge leo, na anza kufanya kazi nasi.

Unataka kujua zaidi ?


Tupigie:

Tuchati WhatSapp:

Tembelea website:

Fika ofisini kwetu:

+255-656-040-073

Whatsapp

pos.levanda.co.tz

Weka miadi ya kuonana nasi ofisini kwetu Magomeni, DSM au Mnazi mmoja, DSM

How much can Levanda POS Agent earn

In order to be Levanda POS Agent, you must have below qualifications:

Levanda POS

Levanda POS Agent must know how Levanda POS works.

Digital skills

Levanda POS Agent must know the importance of using digital ways of running business than using manual or analogy ways.