LevandaPOS

Ithamini biashara yako kwa kuipatia Levanda POS

Mfumo huu utakusaidia kufuatilia hatua za biashara yako, ukuaji na ushukaji wa mapato.

Fungua Akaunti Bure

Levanda POS ni nini ?

Ni mfumo wa kidijitali unaomsaidia mfanyabiashara kuendesha biashara yake kisasa kwa kutumia kifaa cha kielektroniki kama simu janja, tablet, au kompyuta. Kutunza rekodi na kutoa ripoti za bidhaa, mauzo, faida, hasara, matumizi, wateja, madeni n.k

Maduka ya

Inaokoa Muda

Hauhitaji kupoteza muda kufanya mahesabu ya Mauzo, Faida, Matumizi, Bidhaa n.k kwenye Biashara yako, Levanda POS itakufanyia ndani ya sekunde kwa kubonyeza kitufe.

Ni rahisi kutumia

Hauhitaji kuwa na Elimu ya juu ili kutumia Levanda POS. Unahitaji kujua kusoma na kuandika tu.

Usalama wa Taarifa

Ni salama kutunza taarifa zako kwenye mfumo kuliko kwenye makarasi. Kwenye mfumo, taarifa zako zitakaa milele na kwa siri.

Biashara zako zote ndani ya Akaunti moja

Hauhitaji kuwa na akaunti nyingi kuendesha biashara zako. Fungua akaunti moja ndani ya Levanda POS kisha endesha biashara zako zote ndani yake.

Popote pale ulipo, Wakati wowote

Unaweza kujua kila kinachoendelea kwenye biashara yako hata kama upo mbali na biashara yako.

Taarifa za Kila siku

Utapokea ujumbe mfupi SMS kila siku unaoonesha taarifa ya Mauzo, Faida, Matumizi na Bidhaa za dukani kwako.

Faida za kutumia Levanda POS

Image
Image

Levanda POS itakusaidia kujua

Mapato, faida na matumizi kwenye biashara yako

Uongezekaji na upunguaji wa idadi za bidhaa

Taarifa za wateja wako unaowadai na wanaokudai na rekodi zote za malipo ya madeni

Marejesho ya malipo (Installments) kama biashara yako inaruhusu wateja kulipia kidogo kidogo

Taarifa za uhamishwaji wa bidhaa kutoka duka/stoo moja kwenda duka/stoo ingine

Gharama za kutumia mfumo

Gharama zetu ni rahisi, nafuu, unazoweza kuziumudu. Mwezi wa kwanza ni BURE, utaanza kulipia gharama za kutumia baada ya mwezi mmoja.

Mwezi
12,000 /=
Kwa kila duka/stoo
Miezi 3
33,000 /=
Kwa kila duka/stoo
Okoa 3,000
Miezi 6
60,000 /=
Kwa kila duka/stoo
Okoa 12,000
Mwaka
108,000 /=
Kwa kila duka/stoo
Okoa 36,000

Jiunge nasi leo tukusaidie kuikuza biashara yako

Image
Akaunti
128
Watumiaji
185
Maduka/stoo
153
Wateja
151